Monday, September 27, 2010







Jana siku ya Jumapili tarehe 26 Septemba, tulibahatika kutembelewa na kuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu wetu, Mheshimiwa Mizengo Pinda pale Mt. Vernon katika makao ya balozi wetu wa kudumu kwenye Umoja wa Mataifa. Kwa kweli baada ya mazungumzo hayo naweza kusema ya kwamba chaguo la Mhs. Pinda kama Waziri Mkuu lilikuwa sahihi na bado anastahili kurudi tena katika awamu ijayo na pengine ni chaguo la kufikiriwa sana hapo baadaye!

No comments:

Post a Comment