Saturday, September 25, 2010

Kwa sababu tumepuuzia kilimo hivyo basi hata biadhaa zinazohusiana na kilimo kama vile Kahawa na Chai zimebaki kuishia ndani ya mipaka yetu. Soko la bidhaa hizi nje ya Tanzania ni kubwa, kinachohitajika ni kuboresha uzalishaji wa mazao haya ya kibiashara na kufanya utafiti wa kiuchumi kuhusu soko. Ingefurahisha sana kama tungekuwa tunakutana na bidhaa zetu huku nje!

No comments:

Post a Comment