Monday, December 20, 2010

Baada ya miaka 50 ya uhuru inabidi kwa kweli tulichangamkie suala la MAJI SAFI kwa nchi yetu. Itakuwa ni aibu kubwa sana kama baada ya miaka 50 mingine hawa watoto watakuwa bado wanategemea maji kutoka kwenye vyanzo kama hiki. Wabunge wetu tunawaomba hili suala mlipigie kelele usiku na mchana mpaka lipatiwe ufumbuzi wa kweli!

No comments:

Post a Comment