Friday, February 27, 2009

Rais wa zamani wa Malawi Bakili Muluzi pichani juu (katika picha ya mwaka 2002), anatarajiwa kushitakiwa kwa mashitaka 86 ya madai ya wizi wa Dola Millioni 12 za pesa ya misaada kwa ajili ya nchi yake wakati akiwa madarakani. Sakata hili siajabu likamletea utata mkubwa kuhusu mpango wake wa kuwania tena Urais katika uchaguzi unaokuja wa mwezi wa Tano mwaka huu.

No comments:

Post a Comment