Monday, February 23, 2009



Waafrika wote tunastahili kumpa mkono wa pongezi Rais Paul Kagame wa Rwanda kwa jitihada zake nchini Rwanda katika kusimamia vizuri maendeleo na amani nchini mwake. Ikumbukwe ya kwamba yale yaliyotokea nchini humo katika miaka ya tisini hayakuwa madogo hata kidogo, lakini kutokana na uongozi bora wa Rais Kagame, ndugu zetu wa Rwanda waliyaweka yote nyuma yao na kwa kipindi kifupi wameweza kupiga hatua kubwa sana. Ni mfano mzuri wa kuigwa na viongozi wengine barani Afrika.

No comments:

Post a Comment