Tuesday, February 24, 2009

Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiongea jana na vyombo vya habari juu ya Vodacom Foundation itakavyosherehekea siku maalumu tarehe 26 mwezi huu na kutoa misaada ya vyombo vya afya katika hospitali mbalimbali hapa nchini.Na sherehe hizo zitasherehekewa duniani pote.(kulia)Manager wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule,(kushoto)Afisa wa Vodacom Foundation Linda Mwakalyelye

No comments:

Post a Comment