Friday, February 20, 2009

Tiketi za kuangalia Kombe la Dunia zimeanza kuuzwa Ijumaa na wakati huo huo ujenzi na matayarisho ya mashindano hayo makubwa ya mpira wa miguu Duniani bado yanaendelea. Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya kwanza kwa nchi ya Kiafrika kupewa heshima ya kuyaandaa mashindano haya, hivyo ni muhimu kwa nchi zitakazoshiriki toka Afrika kuwakilisha vizuri na kuliacha kombe Barani Afrika.

No comments:

Post a Comment