Friday, May 21, 2010

Wakati Juni 11 ikiwa inakaribia, kila washiriki wa Kombe la Dunia 2010 wako kwenye maandalizi makali ili kuhakikisha kombe wanachukua wao. Pichani kikosi timu ya taifa ya Ufarasa wakiongozwa na P. Henry wanaonekana wakila tizi la nguvu.