Friday, May 28, 2010Mmoja wa mategemeo makubwa ya Afrika mwaka huu kule Afrika ya Kusini, ni kijana Samuel Eto'o na kundi lake la Cameroon.  Waafrika tuwenao bega kwa bega kwa kuwashangilia na kuwapa moyo na nguvu ili mwaka huu libaki Afrika.