Friday, January 23, 2009

UTANI WA KIKENYA

1.Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2.Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3.Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4.Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5.Baba yako ni fala, alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7.Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8.Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9.We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

No comments:

Post a Comment