Thursday, January 22, 2009

Waasisi wakiutilia sahini muungano:
Suala la matatizo yaliyomo kwenye muungano linawakera wengi na kama tutaendelea kuliburuza na kulionea haya, basi hatimaye litatuangusha. Matatizo yaliyomo ambayo ni ya kweli na ya wazi yanabidi yashughulikiwe katika kipindi cha miaka mitano ijayo na si zaidi ya hapo.
Kuwa na wizara inayoshughulikia mambo ya muungano, linaweza kuwa ni jambo zuri lakini vile vile linanipa hisia ya kwamba tunajiburuza. Haya ni maoni yangu ambayo pengine yanaweza yasiwe sahihi...naomba wanaolijua suala hili vizuri wanisaidie!!

No comments:

Post a Comment