Wednesday, January 21, 2009

Wajumbe wa mkutano ulioanzisha chama cha TANU tarehe 7/7/1954 na baadae mwaka 1977 kikaunganishwa na Afro Shiraz Party na CCM kuzaliwa. Kama sikosei CCM ni moja ya vyama vya kisiasa barani Afrika ambacho kimekuwa madarakani kwa kipindi kirefu.
Wadau, ningependa kuuliza swali: Hivi, chama kikiwa madarakani kwa kipindi kirefu kama kilivyo CCM, je! sera za chama hicho tawala zinasaidia kuleta maendeleo au kuyadumaza?

No comments:

Post a Comment