Wednesday, January 28, 2009


Watani wetu wajadi waliuchukulia ushindi wa Rais Barack Obama kwa kishindo mno. Mara baada ya ushindi huo wa kihistoria siku hiyo ya Novemba 4, wenzetu waliamua kutengeneza kinywaji cha bia walichokiita "President" kwa kumpa heshima Bw. Obama. Pichani juu jamaa anaonekana akiwa katika hatua ya mwisho kabla ya usambazaji.

No comments:

Post a Comment