Friday, January 30, 2009








Ujenzi katika sehemu ambayo kwa sasa ujulikana kama "Ground Zero" zinaendelea vizuri na pengine ifikapo Septemba mwaka huu, hatua ya kwanza ya ujenzi huo itakuwa imekamilika, baada ya kukamilika kwa jumba la makumbusho ya maafa ya Septemba 11. Pichani ni sehemu hiyo ya jumba hilo la makumbusho likianza kupata sura.


No comments:

Post a Comment