Thursday, July 29, 2010


KUNGUNI TATIZO KUBWA MAJUU!!!



The Best Bed Bug Exterminator In New Jersey, New York City, Connecticut, and Long Island, NY
New Effective Cryonite® Bed Bug Freezing Treatment Available Now at Stern Environmental

Imani zetu ni kwamba huku kwa wenzetu tunakokuita "MAJUU" ni sawa na peponi na hivyo basi hutegemei kukutana na vitu au mambo yalioko kwetu Afrika. La hasha!! Huku majuu kama ilivyo Afrika yetu kuna Wajinga, Masikini, Wavivu na kina namna ya ghasia.

Neno "Kunguni" kule kwetu linahusishwa na hali ya umasikini na uchafu, lakini kwa taarifa zenu ni kwamba kunguni ni tatizo kubwa sana haswa hapa katika jiji la New York mpaka imeamuliwa iundwe "task force"  ya kupambana na kero hili.

No comments:

Post a Comment