Saturday, March 24, 2012

BUSI LA NAJMUNISA LIKITEKETEA KWA MOTO JIONI YA LEO MKOANI MOROGORO.

Basi lifanyalo safari zake kutoka Dar Mwanza, Ajali hiyo ulitokea katika kijiji cha Berege Mkoani Morogoro, Chanzo cha moto huo kinasemakana kuwa hitilafu ya Betri ya gari Abiria wote walitoka salama, Hila mizigo yao yote iliteketea kwa moto huo.

Abilia na watu wengine wakishuhudia moto huo unavyo liteketeza basi hilo, bila msahada wowote.

No comments:

Post a Comment