Mtanzania yeyote ukiwa ndani ya New York Hii ndo sehemu ya kukutana na watanzania wenzako na kukumbushia mambo ya nyumbani. Chini Watanzania wakicheza mduhara mambo ya kidole juu...!!!
| Dj Mao Njuma Ya Dj mashine akiwa tayari kwa kuwapa wapenzi wa muziki kitu roho inapenda. |
| Ni Alamo pekee Na Dj Mao...&...VjDaveNy....... |
No comments:
Post a Comment