Thursday, March 29, 2012

BAADA YA MAMBO KUWA MAGUMU KITI CHA UBUNGE WA ARUSHA MH DKT BATILDA S. BURIAN

Baada ya mambo kumwendea kombo katika kinyang'anyiro cha kugombe kiti cha ubunge katika jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya chama tawala cha CCM, na kupigwa kumbo na mgombea wa CHADEMA Mh Lema Dkt Batilda S. Burian apewa shavu la kuwa Balozi wa jamuhuri ya muungano Tanzania nchini Kenya. Picha akiwakilisha hati za utambulisho kwa Mh Rais Mwaki Kibaki. Rais wa Jamuuri ya Kenya, march 28, 2012.

No comments:

Post a Comment