Friday, March 30, 2012

DIAMOND MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLAVOR, HAITIKISA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU HUU KATIKA SHOW YAKE MAALUMU ALIYOITWA DIAMOND ARE FOREVER. AZITOLEA PESA ZA WEMA SEPETU MCHUMBA WAKE WA ZAMAMNI.


Hapa akiimba mbele ya umati uliyo kuwepo ukumbini hapo kushuudia show hiyo.
Hapa Daimond akitunzwa na mpenzi wake huyo wazamani Wema Sepetu lakini kwa mshangao wa walio wengi ukumbini hapo hakuzipokea pesa hizo. Na watu walilipuka kwa mayowe kwa kitendo cha Diamond kuhutolea nje mshiko huo wakipenzi wake wazamani.
Mapaparazi kama kawaida wakipata picha za kumbukumbu za Wema Sepetu ambae nae alikuwapo ukumbini hapo kushuhudia show ya kipenzi wake huyo wa zamani.
Warembo wakifurahia manjo njo ya Diamond ukumbinia hapo hapa ni Bea wa Mt Vernon NY, na  Jokate wa Dar.

No comments:

Post a Comment