Wednesday, March 28, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA WARSHA YA MIKAKATI YA KUONDOA UMASIKINI TANZANIA

<><>
Rais, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza wakati akifungua warsha ya siku mbili ya mikakati ya kiuchumi ya kuondoa umaskini iliyoandaliwa na REPOA katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam, leo.
Profesa Do Duc Dinh, kutoka Vietnam akitoa mada ya jinsi nchi yake ilivyofanikiwa kuondoa umaskini wakati wa warsha ya siku mbili ya utafiti juu ya mageuzi ya kuondoa umaskini nchini Tanzania.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Profesa Ibrahim Lipumba, baada ya picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya siku mbili ya utafiti juu ya mageuzi ya kuondoa umaskini, nchini

No comments:

Post a Comment