NDUGU Watanzania wenzangu,
Serikali yetu imekuwa ikikemea suala hili la ukeketaji kila kukicha
lakini cha ajabu na kushangaza bado kuna baadhi ya makabila yanaendeleza
mira hii. Swali la msingi na lakujiuliza kwa wote nani ataweza
kukomesha tabia hii ikaachwa mara moja ??? |
No comments:
Post a Comment