Thursday, April 29, 2010



Hivi ni kwa nini haturidhiki na ngozi yetu nyeusi? Au ule msemo wa "Black is Beautiful" maana yake nini?

1 comment:

  1. Ndio maana wazungu wanazidi kutudharau kwa kweli. Watu hawajiamini na ngozi yao hata kidogo.
    Hii product ukiingiza Congo,ni utajiri mtupu.

    ReplyDelete