Friday, April 30, 2010

Kumradhi kwa kubandika hizi picha, lakini nia si kuchafua hali ya hewa bali ni kuonyesha jinsi gani lugha zinavyotofautiana.  Huu ni mgahawa mmoja ambao uko pale Chicago na anwani yake ni 2900 West Belmont Avenue, Chicago, IL 60618. Wana mpaka na burger kwenye menu yao ambayo kwetu sisi ni matusi ya nguoni. Interesting....