Thursday, April 29, 2010

Mashindano ya mbio za magari Afrika Mashariki!


Mchezo huu wa mbio za magari katika nchi zetu za Jumuiya ya Afrika Mashariki zina Historia ndefu kiasi, wengi kama mtamkumbuka Bert Sherkland(kama sikukosea) na kina Joginda Singh na wengineo wengi walikuwa kila mwaka wakichuana vikali katika barabara ngumu kupitika. Mojawapo ya mtihani mgumu ni vilima vya Usambara.