Friday, May 29, 2009




Jana katika pita pita yangu pale Manhattan, nilikumbana na hii sehemu hapo juu inayouza vinywaji baridi. Ingawa kulikuwa na manyunyu ya mvua na nikiwa naendesha ilibidi nichukue snap ya jina ya hii sehemu. Iko katikati ya 5th na 6th Avenue kwenye barabara ya 42nd. Nitajitahidi kurudi tena kudadisi kuhusu maana ya hilo jina.


No comments:

Post a Comment