Thursday, August 20, 2009

MSICHANA AU MVULANA?






Caster Semeya wa Afrika ya Kusini ambaye alishinda medali ya Dhahabu kwenye mbio za mita 800 kwa wanawake jana(08/19/2009), katika mbio za IAAF Athletics World Championships mjini Berlin ameleta utata mkubwa kuhusu jinsia yake. Wadau mnasemaje?




No comments:

Post a Comment