Hivi kweli mpaka wa leo katika karne hii bado tunapasa kuendelea kuishi kwenye vijumba vyetu vya asili? Kama wengi wetu tunao uwezo wa kujenga majijumba ya mpaka mamilioni pale Dar, hivi kweli tunashindwa kuwatizama hawa wenzetu na kuwasaidia kuwaondolea hali hii? Hawa wanaoishi hivi nao pia walisaidia sana kuwachagua Wabunge na Raisi wetu kwa mategemeo makubwa ya kufurahia matunda ya uhuru, matokeo yake ni ufisadi na mengineyo mengi...
No comments:
Post a Comment