Teefar Fruit punch Wa Brooklyn NY. |
Kwanza anatoa salamu kwa waislam wote na kuwa takia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa ramadhan, nakudumu nao kwa kipindi cha mwezi mzima. Na yatupasa tumche mola sana kwa kipindi hichi uku tukiendelea kumuomba usiku na mchana hili atubashirie pepo. Pia tusisahau kuwaombea dua wale waliotutangulia mbele ya haki kufuatia ajali ya meli ya mv skagit hiliyo tokea siku chache zilizo pita. Mola awajaalie wale wote walio mahospitalini kutokana na kujeruhiwa katika ajali hiyo waweze kupa nafuu na kama si kupona kabisa.
Inshaallah.
Ramadhan Kareem.
Ramadhan Mubaraq.
No comments:
Post a Comment