Saturday, January 12, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi, zilizofanyika leo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
Maandamano yakipita mbele ya Jukwaa kuu....
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria sherehe hizo.......
Maandamano ya waendesha pikipiki wa Unguja yakipita mbele ya Jukwaa kuu...
Wananchi wakipita kwamaandamano mbele ya Jukwaa Kuuu......
Vijana wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na picha za viongozi....
mchezo....
Baadhi ya viongozi..jukwaa kuu.....
Gwaride likipita mbele ya jukwaa kuu......
Sehemu ya wananchi.....
Mwenyekiti wa UVCC Taifa akipita na wapanda pikipiki..
Makomandoo wakitoa heshima mbele ya jukwaa kuu...
Gwaride....