Wednesday, February 27, 2013

ANGALIA PICHA,DR,SLAA NA MCHUMBA WAKE JOSEPHINE WAKIWA JERUSALEMU CITY WAKIMLILIA MUNGU



Kila mtu ana imani yake.Hapa tumekuja kumlila Mungu hasa kwa yale yanayoendelea,katika nchi yetu.
Tumeweza kuibeba Tanzania na kuputa njia aluyoputa Yesu akiwa na msalaba mpaka Golgota,zaidi tumeweka msiba wa watanzania mbele ya macho ya Mungu pale Getsemane na West wall.
Bado tunaendelea na maombi,hakika mateso yamefika mwisho.














No comments:

Post a Comment