Sunday, September 7, 2008

MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA
Vijana wakiwa kwenye mnuso wa summer.



Mimi, Geogina, Chris na Hyiasinta



Niko na mwanangu Kombo kwenye treni za chini kwa chini


Niko na wanangu Hennah na Kombo Bryant Park, New York.


Niko na bi mzuri Hennah


Niko na mameneja wenzangu.






Niko mafunzoni na wenzangu.


Baada ya kupewa vyeti.



Kwa mikono sijachacha. Niko na wife na bi Mary.
Harusini Dar






Nikiwa na Mc. Shomari New York




Najidai na mama watoto










No comments:

Post a Comment