Monday, October 27, 2008








Ingawa ana miaka saba tuu, lakini binti huyu anaonyesha umaarufu mkubwa asimamapo mbele ya kamera. Amezaliwa Septemba 2nd, 2001 Jiji New York na kwa sasa yuko darasa la pili katika shule ya Ideal Montesori, Queens, NY.


1 comment:

  1. huyu ndio mkwe wangu kwa bwana magambo junior(AJ)tunajiandaa kuleta posa,kidume kiko jersey,hongera mkwe umependeza

    ReplyDelete