Sunday, November 2, 2008



Hali inazidi kuwa mbaya katika nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Congo, hasa Mashariki mwa nchi hiyo ambapo wapinzani wanapambana vikali na majeshi ya serikali na kuonekana kuyashinda nguvu. Raia wasio na hatia wanaendelea kuteseka na kuthulumiwa haki zao za kimsingi kabisa. Hivi kweli hawa watoto na kina mama wataendelea kuteseka mpaka lini?

No comments:

Post a Comment