Saturday, November 1, 2008












Hivi ndivyo ilivyokuwa jana kwenye sherehe ya Halloween pale Macy's Hicksville, Long Island. Siku hiyo kila mmoja alijaribu kuonyesha umaarufu wake wa kuvaa mavazi ya kipekee isipokuwa mimi tuu na badala yake ilibidi niwe mpiga picha.



No comments:

Post a Comment