Wednesday, November 5, 2008








Hivyo ndivyo ilivyokuwa jana wakati Dunia nzima iliposhuhudia kutangazwa rasmi kwa ushindi wa bwana Obama na baadae kupata nafasi ya kumsikiliza akitoa hotuba katika siku hii kubwa ya kihistoria, kwa Marekani na Dunia kwa ujumla.


No comments:

Post a Comment