Sunday, November 16, 2008

Watanzania mnaoishi New York na nje ya New York wa madhehebu yote, mnaozungumza kiswahili mnakaribishwa kwenye mkutano wa kuanzisha misa ya kiswahili itakayokuwa inafanyika mara moja kwa mwezi. Mkutano huu utafanyika tarehe 23 Novemba, 2008, katika kanisa la Holy Trinity Lutheran Church lililoko Queens NY saa saba mchana baada ya ibada ya kiingereza ya saa tano asubuhi. "Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu". Watu wote wanazungumza kiswahili wanakaribishwa!!

No comments:

Post a Comment