Tuesday, January 20, 2009


Jana ilikuwa ni siku ya Dr. Martin Luther King Jr. na watu wengi waliandama kwa kumkumbuka kwa jinsi alivyoweza kutufikisha hapa tulipo, na leo ndoto zake zimetimia. Asante sana Dr. King!!

No comments:

Post a Comment