HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Friday, January 16, 2009
Kwa kuangalia picha hii, je unadhani jamaa wa pili kushoto(ama tuseme Mkuu wa nani..) alikuwa anamwambia nini mpiga picha hii?
Ndugu Kombo na Bwana Michuzi, Tunawashukuru sana kwa kazi nzuri mnayoifanya. Huyu ndugu Michuzi anamsanifu mpiga picha kwa sababu yeye (Michuzi) ni zaidi. Pongezi zote ni kwenu (Kombo & Isa) kwa kutu-link na blog za wakwetu (Tanzania) popote katika mtandao
Inawezekana camera man alikua na pozi; Jamaa anamwambia usituletee pozi hapa na kikamera chako cha uchwara.
ReplyDeleteNdugu Kombo na Bwana Michuzi,
ReplyDeleteTunawashukuru sana kwa kazi nzuri mnayoifanya. Huyu ndugu Michuzi anamsanifu mpiga picha kwa sababu yeye (Michuzi) ni zaidi. Pongezi zote ni kwenu (Kombo & Isa) kwa kutu-link na blog za wakwetu (Tanzania) popote katika mtandao