Monday, January 12, 2009

Maelezo kwenye tangazo hili sidhani kama yanatosheleza...chaguo lako? Pengine ingekuwa "Chagua mwenzi wako kwa makini". Je! unakuwa "salama" na nini? Ningependa kuona neno kwa chini linalosema - Ukimwi unauwa, jihadhari!

No comments:

Post a Comment