Monday, February 2, 2009




Ajali mbaya ya moto imetokea jana mjini Molo nchini Kenya baada ya lori la mafuta kupinduka na kumwaga mafuta. Wakati wa hekaheka ya kutaka kujipatia mafuta ya bure, watu zaidi ya 100 wamefariki dunia na wengine karibu 200 kujeruhiwa baada ya lori hilo kushika moto na kusababisha mlipuko mkubwa.


No comments:

Post a Comment