Sunday, February 8, 2009

Dr. Remmy Ongala ni mwanamuziki mwingine ambae kamwe hatasaulika katika muziki wa dansi Tanzania. Wengi bado tunavikumbuka vibao vyake, kwa mfano Mwanza, Siku ya kufa, Mariamu wangu n.k.

No comments:

Post a Comment