Saturday, February 7, 2009

Hivi ni kwa nini mara nyingi kwenye kambi za wakimbizi, pamoja na hali ngumu ya maisha iliopo kwenye kambi hizo lakini wanawake huwa na watoto zaidi ya mmoja? Na inavyojionyesha ni kwamba kina mama ndio wanaobeba jukumu zito la ulezi wa watoto hao. Je! kina baba wanakuwa wako wapi?

1 comment:

  1. Sidhani kama wanawake ni wakulaumiwa peke yao. Mambo ya uzazi yanahusu mama,baba na health care system. Je hapo kwenye kambi kuna uzazi wa majira? Kama mama yuko sexually active na pia yuko fertile basi atazaa. Cha muhimu ni kuelimisha familia uzazi wa majira na kuwapatia majira yenyewe. Kufunga kizazi, vidonge, condom za wakina mama na wakina baba,loop,sindano ndio njia za majira. Au vinginevyo basi baba na mama wasikutane kabisa. Mara nyingi tunamuachia jukumu mama peke yake kuhusu uzazi wa majira tunasahau na wanaume wanahusika. Kutengeneza mtoto na ulezi vyote ni jukumu la wakina mama na baba.

    ReplyDelete