Khanga ni vazi ambalo lina matumizi mengi haswa katika jamii yetu ya Kitanzania na pote Afrika Mashariki na ya Kati. Mojawapo ya matumizi hayo ni kuwabebea watoto ili kuwarahisishia kina mama na kina dada kufanya shughuli zao na wakati huo huo kutoa malezi bora kwa watoto wetu.
Khanga ni vazi muhimu lakini wengine wakishaenda ulaya wanadharau khanga wanasahau walibebwa na Khanga.
ReplyDelete