Friday, February 6, 2009

Mlima Kilimanjaro ni kivutio kimojawapo kikubwa cha wageni wanaokuja kila mwaka nchini mwetu, lakini sifikirii ya kwamba tunautangaza vizuri nje ya nchi yetu ipasavyo. Inanisikitisha kila ninapokutana na mgeni anayepanga safari ya kuja kuupanda mlima huu, na kusikia kwamba eti anakwenda Kenya. Ingawa mlima huu ni mali hasili ya kila mwanadamu, lakini anayepaswa kufaidika zaidi ni yule mwenye haki-mipaka(huu uko ndani ya mipaka yetu).

No comments:

Post a Comment