Thursday, February 5, 2009


Msongamano wa magari kama ilivyo Dar es Salaam, ni kero kubwa katika miji mingi duniani. Picha ya juu ni Lagos, Nigeria na ya chini ni Dhaka, Bangladesh. Upanuaji wa mabarabara sio suluhisho pekee, pia kunatakiwa kuwepo sheria nyingine, kwa mfano kuzuia magari makubwa kwenye baadhi ya barabara, uongozaji mzuri wa taa za barabarani, njia pekee kwa mabasi ya abiria(daladala), n.k.

No comments:

Post a Comment