Tuesday, February 3, 2009







Pamoja na hekaheka zilizomtinga wakati wa mbio za kuelekea kwenye Jumba Jeupe, Rais Obama siku zote alihakikisha kwamba anatenga muda wa kufurahi na familia yake. Kwa kweli huu ni mfano mzuri wa kuigwa na kina baba wote!!



No comments:

Post a Comment