Saturday, February 14, 2009

TAARIFA YA MSIBA - NEW YORK

Tunapenda kuwatangazia Watanzania wote waishio New York na maeneo ya karibu ya kwamba mwenzetu ndugu Abel Magalunda, amempoteza mkewe mpenzi Pendo Magalunda, aliyefariki Dunia tarehe 13 Februari 2009, katika Hospitali ya Rochester, New York.

Tunawaomba Watanzania wote tuliopo hapa kumfariji na kumsaidia mwenzetu wakati wa kipindi hiki kigumu. Mtajulishwa baadae kuhusu wapi na nini cha kufanya ili kufanikisha safari ya marehemu.

Tunapenda kutanguliza shukurani za dhati toka familia ya marehemu.

No comments:

Post a Comment