Friday, February 13, 2009

Wasafiri wengi wa mabasi utegemea sana hudumu za hawa vijana kwa vipochopocho safarini, lakini wengi wa vijana hawa ni wa umri wa kuwa mashuleni na si kwenye hizi biashara. Hivi vibiashara kamwe havitaweza kuwasaidia kimaisha, wanachoitaji ni elimu. Ili Taifa letu lipate maendeleo ya kweli kunahitajika sheria kali za kuwabana wapuuzia elimu.

No comments:

Post a Comment