Wednesday, March 25, 2009


Jumba la ghorofa 11 limeanguka katika kitongoji cha Idi-Araba Jijini Lagos Nigeria na kukadiriwa kuleta maafa ya vifo vya watu 11 mpaka kufikia sasa. Wengi wa marehemu inasemekana ni watoto wadogo. Chanzo cha kuporomoka kwa jumba hilo mpaka sasa hakijajulikana lakini uenda ikawa ni ujenzi hafifu.

No comments:

Post a Comment