HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Sunday, March 1, 2009
Kwa tulio ugenini lazima tukubali kwamba mara nyingi sana uyakumbuka mapochopocho kama haya. Picha hii imenifanya mdomo ujae mate ya tamaa na kutamani sana kuwa Bongo.
No comments:
Post a Comment